The Editor
Member
- Dec 18, 2012
- 23
- 5
Mna complicate mambo kwa 'too much mafunzo na maelezo na angalizo'
just oa tu...
mengine utayakuta huko huko
Ndio u dot com huo, kila kitu mpaka instruction manual
Mi nikifikiria swala la kuulizwa ulizwwa uko wapi kila wakati nachoka kabisa.. Although 2013 wedding bells lazima zigongwe church..
Mengine tutajua huko huko tuache uoga vijana..
Inspecta haruni anakwambia eti bado upo upo wakati ni Uzinzi tu
Debe Tupu Haliachi Kutika!!!!!!! Na nakufatilia kwa ukaribu Ole wako Usioe hii 2013 Nakuja Auditing Firm Kukusuta na Mashujaa Band!!!!!!!!!!
Yaaaani jiangalie sanaa 31 Dec 2013 isikukute bila mke! Huwez kutoa promise za rejareja humu jamvini afu tukuache tu!
Acha Kujizeesha Kijana bado mdogo stress za nini?????? Mkioa wote nani atatununulia Bier za buree! Tumia pesa ikuzoeee!
Utajiwekaje kwa mtu mmoja maisha yako yote afu hata hujafika nusu!!!!!!!!????? Si uongo mtakatifu huo mbele ya Mola, Bible na wazazi ilihali wala huna nia ya kuacha papuch zingine forever!!!!!!1
Kula nanasi kwahitaji nafasi!!!!!!!! Shauri yako!
Kila kitu sasa watu wanataka SOPs au Guidelines.. use brain and make decision!!!
Natalia lara 1 Ciello njoo mumuone huyu kapata kazi tu na hela anawaza maisha ya kuoa hana nyumba wala hajawaza kujenga anataka aolee kwenye nyumba yakupanga sijui,hana gari mkanangane kwenye daladala ,mke huyo atakayemwoa sijui atakuwa wa namna gani ,
mtoa madahakikisha umefanya vitu hivi:
1.jenga nyumba
2.uwe na gari nzuri yako na ya mkeo mtarajiwa
3.pesa yakutosha isiyopungua hovyo
4.wekeza vyakutosha
5.waza kuoa sasa.mwanaume asiyekuwa na hivo hapo juu ni sawa na bure
ahahaaa acha kumtisha kijana wa watu.Natalia lara 1 Ciello njoo mumuone huyu kapata kazi tu na hela anawaza maisha ya kuoa hana nyumba wala hajawaza kujenga anataka aolee kwenye nyumba yakupanga sijui,hana gari mkanangane kwenye daladala ,mke huyo atakayemwoa sijui atakuwa wa namna gani ,
mtoa madahakikisha umefanya vitu hivi:
1.jenga nyumba
2.uwe na gari nzuri yako na ya mkeo mtarajiwa
3.pesa yakutosha isiyopungua hovyo
4.wekeza vyakutosha
5.waza kuoa sasa.mwanaume asiyekuwa na hivo hapo juu ni sawa na bure