kuanza kutumia dawa ya kupungua kuongezeka kwa VVU

lyoni

Member
Feb 23, 2016
34
16
Bandugu naomba kujuzwa ni katika kiwango gani hasa cha CD4 mgonjwa anashauriwa kuanza kutumia dawa
 
Nenda kituo cha afya cha karibu utapewa taarifa ,but in vizuri kujua ni Nani mtu huyo maana kuna utofauti juu ya uanzishwaji wa dawa kwa makundi haya;
1. Wajawazito
2. Watoto
3. Watu wazima na vijana
Kuna Ambao regardless of CD4 Count akigundulika tu na maambukizi anaanza dawa.
Kuna Ambao CD4 chini ya 500 cells/mm^3 wanaanza
Wako watu wazima ambao wana HIV lakini wana TB Hao pia wana utaratibu wa kuanza, kadhalika wake wenye magonjwa Kama hepatitis B, wale wanaume ambao in waathirika na wana deal wanaume wenzao,wanaojidunga dawa za kulevya na wana maambukizi, hata wale ambao unakuta wanaishi Kama mume na mke lakini mmoja kagundulika na maambukizi. Hawa wote wana utaratibu mmoja WA kuanza dawa.
So sitaki nikwambie hapa kwa kuwa, kwanza sijajua mtu huyo upo category gani.
Sio Suala tu la kuanza, kuna vigezo.
 
Na pia kuanza dawa hizi huanzi tu mwenyewe kwa kununua au kupima vipomo mwenyewe bila kupata huduma hii katika vituo kama hapo juu ulivyoshauriwa kabla ya kuanza haijalishi hali ya CD4,TB,Ujauzito,Hepatitis tu vipimo kuangalia hali ya figo,hali ya ini,uzito,urefu hufanyika kwa hiyo ni muhimu sana sana kwenda kituoni CTC kukutana na wahudumu wakusaidie na uwe na matumaini usikate tamaa huo sio mwisho wa maisha
 
Ukimwi ni hadithi hakikisha unatibu magonjwa nyemeleze yote ulionayo bila kutumia ARvs kisha kapime tena, bila shaka utakuwa umepona tayari, hayo magonjwa yote wanayo tafta kabla ya kukupa dawa yatibu, kula vizuri, fanya mazoezi kisha kapime tena. Utatoa ushuhuda

Cc Deception
 
Unadiliki kusema kabisa Ukimwi ni hadithi..!! Hujui Ukimwi unasababishwa na nini..? Hujui kweny upimaji wa huu Ugonjwa zinaangaliwa Antibodies dhidi ya Virusi(HIV-VIRUS)...

We unafkr mtu akitibu Diarrhoea, kichwa, kukohoa, vipele n.k ndo atakuwa kaua wale Virusi wa Ukimwi...?

Inasikitisha kwa mtu kuandika uliyo andika, Vinginevyo kama ulikuwa haujui kwa undani...

Al in all; Watu ambao ni Positive wanashauriwa kula Matunda,Mboga za Majani na Wafanye Mazoezi ya Mwili...Hii yote ni katika kuongeza uwezo wa Mwili kukabiliana na Vijidudu hivyo.

Hata hivyo ikifikia point chembe nyeupe zimeshuka kwa kiwango fulani, ndo hapo unywaji wa Dawa unaanza..

Mtoa mada soma post ya ndugu pale juu kwa ufafanuzi zaidi.

ASANTENI.
 
Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini, upungufu wa kinga unaweza sababishwa na vitu mbalimbali kwa mwanadamu. Unaweza kuugua TB hata malaria kwa muda mrefu kisha kinga ya mwili ikashuka ukawa na UKIMWI.

Najua HIV yupo ila ni retrovirus, hawezi sababisha upungufu wa kinga mwilini, ndio maana kuna watu wana ukimwi lkn hawana HIV na kuna watu wana HIV lakn hawana UKimwi.

Note: UKIMWI ni kinga kushuka mwilini. Jwa maneno mengine kile kina sababisha kinga mwilini kikishughuliwa kinga itapanda.

Ndio ivo tu mkuu
 
Ahhahahahhahaha...Daaah..!
 
You can't be Serious...
 
Unadiliki kusema kabisa Ukimwi ni hadithi..!! Hujui Ukimwi unasababishwa na nini..? Hujui kweny upimaji wa huu Ugonjwa zinaangaliwa Antibodies dhidi ya Virusi(HIV-VIRUS)...

We unafkr mtu akitibu Diarrhoea, kichwa, kukohoa, vipele n.k ndo atakuwa kaua wale Virusi wa Ukimwi...?

Inasikitisha kwa mtu kuandika uliyo andika, Vinginevyo kama ulikuwa haujui kwa undani...

Al in all; Watu ambao ni Positive wanashauriwa kula Matunda,Mboga za Majani na Wafanye Mazoezi ya Mwili...Hii yote ni katika kuongeza uwezo wa Mwili kukabiliana na Vijidudu hivyo.

Hata hivyo ikifikia point chembe nyeupe zimeshuka kwa kiwango fulani, ndo hapo unywaji wa Dawa unaanza..

Mtoa mada soma post ya ndugu pale juu kwa ufafanuzi zaidi.

ASANTENI.

Mkuu search maneno haya AIDS Blunder, utapata taarifa zote jinsi hiyo kitu unayoishabikia HIV.
 
Unataka niwe serious kwa kiwango gani?
Watu wana UKIMWI lkn hawana Virus..??! Labda ungesema watu wana Virus, ila bado hawajaanza kuugua...

(Upungufu wa Kinga Mwilini) ili neno lilikuja baada ya kuona hivyo Virus vina kazi moja tu ya kushambulia walinzi wa mwili( WBCs) vinaua Chembe nyeupe kwa mwendo wa mbele kwa mbele kama wimbo wa Chama chetu..

Sasa kwa sababu zinapunguza kinga, wakaamua hii hali tuiite Ukimwi, na kinga iliyopunguza na HIV-Virus( hiyo hali ndo inaitwa UKIMWI) Only that..

Plasmodium wanasababisha MALARIA..
Mycobacterium Tuberculosis wanasababisha Tuberculosis(TB)

And so forth.
 
Ukimwi ni hadithi hakikisha unatibu magonjwa nyemeleze yote ulionayo bila kutumia ARvs kisha kapime tena, bila shaka utakuwa umepona tayari, hayo magonjwa yote wanayo tafta kabla ya kukupa dawa yatibu, kula vizuri, fanya mazoezi kisha kapime tena. Utatoa ushuhuda

Cc Deception
Mkuu acha kupotosha Umma
 
Mkuu search maneno haya AIDS Blander, utapata taarifa zote jinsi hiyo kitu unayoishabikia HIV.
Huyu jamaa akitafta ile Documentary "10 Reasons why HIV is not the cause if AIDs" kwakweli lazima utoke na ile kitu ya "ahaaa", yani umepata jambo jipya

Zile sababu hata uwe kichaa utajua tu kati ya wale wanaotoa dhana ya HIV/AIDs na wanaopinga nani yupo clear.

Dhana ya UKIMWI mpk leo ukiuliza sana unafika sehemu unakutana na kitu kinaitwa NO ANSWER.

Lakin dhana zinazopinga HIV/AIDs ni nyepesi kuzielewa na zina facts. Kwa mfano ni rahs kujiuliza kwanini UKimwi unatofauti ya maambukizi kutoka kwa wazungu mpk Africa kusini mwa jangwa la sahara? Kama kirusi ni yule yule, wanadamu ni walewale why variation?

Je tunafanya ngono sana? Je HIV anapenda watu wa Africa sana? Hapo ukijiuliza lazima ufikiri lipo jambo jipya la kujifunza. Na ukianza kujifunza ndio utajua kuna sarakasi za kati ka kirusi HIV na matokeo ya kirusi AIDs au UKimwi.

Inuka, tafta maarifa, dunia ni moja tu ipo huru kukupa maarifa mapya.
 
Mkuu google AIDS BLUNDER , humo utakuta vitu vipo wazi.
watafute Dr DUISBERG na wenzake wengi tu wameielezea HIV kwa undani . Tena hadi hao MaGodfather waHIV DR ROBERT GALLO na LUC MONTEIGNER wameeleza AIDS (UKIMWI)
tiba yake ni lishe bora, matunda , maji safi kwisha.
 
UKIMWI upo jamani hata kama haujaingia kwako,Upo kwa jirani,Upo kwa jamii na kwa taifa kwa ujumla na ni afadhali ufahamu mapema kuliko kusubiri hadi dakika za mwisho na hakika wanadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa kama hatuamini na tunajitahidi kusoma tu kwenye vitabu hebu tujitahidi kuwa karibu na jirani zetu na jamii tutembelee mahospitalini na tujitoe kwa moyo wa dhati kuwahudumia/kuwatembelea wanaoteseka,yatima,wajane hakika tutajifunza mengi na hata hatuwezi kuukwepa ukweli huu ,najua itatuamsha na tutaamua kupima afya zetu...hii hali ya kukataa kataa hata upimaji pia hatuwezi kuukubali
 
Kwani nani kasema ukimwi haupo? Ukimwi upo tena miaka mingi tu. Lkn tunachojaribu kukataa ni kuwa ukimwi hausababishwi na kirusi anaeitwa HIV.

HiV yupo pia lkn hasababishi UKIMWI zipo sababu nyingine zinazoleta Ukimwi na bila shaka matibabu yake yanapaswa kuwa mengine na sio ARvs
 
UKIMWI upo jamani hata kama haujaingia kwako,Upo kwa jirani,Upo kwa jamii na kwa taifa kwa ujumla na ni afadhali ufahamu mapema kuliko kusubiri hadi dakika za mwisho na hakika wanadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa kama hatuamini na tunajitahidi kusoma tu kwenye vitabu hebu tujitahidi kuwa karibu na jirani zetu na jamii tutembelee mahospitalini na tujitoe kwa moyo wa dhati kuwahudumia/kuwatembelea wanaoteseka,yatima,wajane hakika tutajifunza mengi na hata hatuwezi kuukwepa ukweli huu ,najua itatuamsha na tutaamua kupima afya zetu...hii hali ya kukataa kataa hata upimaji pia hatuwezi kuukubali

Ukimwi upo sana tu, mkuu tatizo hausababishwi na kitu kiitwacho HIV. HIV ni fix kutoka makampuni ya wakubwa wa Dunia katika kupiga fedha kupitia ARV, na madawa mengine chini ya usimamizi wa WHO.
Kula chakula bora, maji salama ya kunywa, matunda mengi ya aina mbalimbali na mboga za majani ndiyo kinga na tiba bora ya upungufu wa kinga mwilini.
 
Mkuu haya mambo si ya kisiasa ni mambo ya kitaalamu, kama huyaelewi vizuri, ni vema ukatuuliza wataalamu tutakueleza lakini si kuandika tu na kufanya utani kwenye mambo yaliyo thibitishwa tayari. Tafadhali sana huku kwetu hatuna siasa.
 
Back
Top Bottom