Wakuu,jinsi Siyoi Sumari alivyopita toka mwanzo kimizengwe, kushindwa vibaya kwa CCM huko Arumeru nini uelekeo wa makundi ya Urais,EL na Chama chenyewe? Pongezi kwa Chadema
The question is: nani atamvua nani magamba? Unadhani Kikwete kweli anaweza kumvua EL magamba yake? Hawa wote wanajuliana siri zao. Kwa kumvua mtu magamba unatakiwa wewe uwe msafi. They are all dirty kama alivyosema wakati mmoja Mkapa. Magamba yataizika CCM.
Mkuu na mi hilo ndo swali langu! mbona watu wanandika htereads humu jamvini kama kwamba matokeo rasmi yameshatangazwa. Kwani dk 90 zimeisha na refa kapiga kipenga cha kutangaza mshindi. Mimi naomba CDM washinde, ila hizi threads nyingine zinatuweka roho juu, kama matokeo rasmi tayari yapo tujuzeni, tuanze kushrehekea kikweli kweli!kwani matokeo kamili yameshatangazwa?
Mkuu na mi hilo ndo swali langu! mbona watu wanandika htereads humu jamvini kama kwamba matokeo rasmi yameshatangazwa. Kwani dk 90 zimeisha na refa kapiga kipenga cha kutangaza mshindi. Mimi naomba CDM washinde, ila hizi threads nyingine zinatuweka roho juu, kama matokeo rasmi tayari yapo tujuzeni, tuanze kushrehekea kikweli kweli!
The question is: nani atamvua nani magamba? Unadhani Kikwete kweli anaweza kumvua EL magamba yake? Hawa wote wanajuliana siri zao. Kwa kumvua mtu magamba unatakiwa wewe uwe msafi. They are all dirty kama alivyosema wakati mmoja Mkapa. Magamba yataizika CCM.
Je ushindi mnono kabisa wa CDM kuongeza kasi zaidi,ari zaidi ,na nguvu zaidi ya kuvuana magamba? Nape this is your oppurtunity utaeleweka sasa!