Wadau naomba kujua kuna uwezekano wa kuangalia TV bila king'amuzi kwa channels zote (azam TV, continental TV ,zuku TV n star times TV n TV za nje ) kwa kutumia flat screen TV ,
Kama kweli utumika nini?
Naomba kuwasilisha