Haipo vita ya namna hiyo unga mkono na pongeza hakuna outcome ni kuzalilisha wasiohusika na kuwastua wahusika, uongozi hauko hivyo. Kiongozi hanaga makuu kama hivi, utafiti wa kina, kumaanisha kwa kuweka wazi waovu kwa kuweka vithibitisho. Watumiaji wangefanyiwa utafiti wa kina kundi la kati na kutiwa nguvuni, kundi la wakubwa wangepatikana.Kumekuwa na kelele nyingi walipoitwa wasanii kituo cha polisi na wengi wakapaza sauti kuwa wanaonelewa tu, wakadai wakamatwe mapapa wa biashara hiyo na si mateja.
Wametajwa watu 'wakubwa' katika nchi hii ila cha ajabu kulalamika kumezidi! Nini hamaki yenu?
Makonda anaandamwa kuanzia ndani ya bunge na hadi katika vyama vya siasa, wafuasi wa waliotajwa nao mishipa ya shingo inawatoka!
Watu wa madawa ya kulevya ni kama wachawi, ukiambiwa bibi yako ni mchawi unaweza kudhani anaonelewa lakini hujui kuwa mambo hayo hufanyika kwa siri sana.
Hata akitajwa baba yako mzazi kuwa mpole maana huzijui harakati zake, na aliyetajwa hapaswi kuhamaki na kuanza kubwabwaja bali aache sheria ifanye kazi yake na kama ahusiki atakuwa huru na itakuwa ndiyo mwisho wa uvumi.
Matusi, kejeli na kashfa za kila aina anatupiwa makonda, huenda mmemchukia au kumdharau lakini kumbukeni kuwa anachojaribu kufanya kimewashinda wengi na pia kumbukeni anaposema yeye inasema kamati ya usalama ya mkoa wa Dar es salaam, hivyo ana mamlaka hayo ya kumuita yeyote katika swala la usalama bila kupingwa kwa malumbano.
Kikwete aliwahi kusema tu madawa ya kulevya yanaingizwa na baadhi ya viongozi wa dini na akaandamwa sana mpaka akaamua kutulia, je Nchi hii ni ya watakatifu hakuna wanaoingiza unga? Mbona kila anaetajwa ni mkali na wafuasi wake wanamtetea?
WANANCHI WENZANGU TUSICHEZE NGOMA TUSIYOIJUA, UNAPOONA WAKUBWA WANAPAMBANA UJUE MASLAHI YAMEGUSWA.
NI MUDA WA MAPAMBANO NA KUMUUNGA MKONO MAKONDA NA ALIYE MCHAFU AJISAFISHE MWENYEWE.
Ndimi Mvumbo Kivugo.
Kumekuwa na kelele nyingi walipoitwa wasanii kituo cha polisi na wengi wakapaza sauti kuwa wanaonelewa tu, wakadai wakamatwe mapapa wa biashara hiyo na si mateja.
Wametajwa watu 'wakubwa' katika nchi hii ila cha ajabu kulalamika kumezidi! Nini hamaki yenu?
Makonda anaandamwa kuanzia ndani ya bunge na hadi katika vyama vya siasa, wafuasi wa waliotajwa nao mishipa ya shingo inawatoka!
Watu wa madawa ya kulevya ni kama wachawi, ukiambiwa bibi yako ni mchawi unaweza kudhani anaonelewa lakini hujui kuwa mambo hayo hufanyika kwa siri sana.
Hata akitajwa baba yako mzazi kuwa mpole maana huzijui harakati zake, na aliyetajwa hapaswi kuhamaki na kuanza kubwabwaja bali aache sheria ifanye kazi yake na kama ahusiki atakuwa huru na itakuwa ndiyo mwisho wa uvumi.
Matusi, kejeli na kashfa za kila aina anatupiwa makonda, huenda mmemchukia au kumdharau lakini kumbukeni kuwa anachojaribu kufanya kimewashinda wengi na pia kumbukeni anaposema yeye inasema kamati ya usalama ya mkoa wa Dar es salaam, hivyo ana mamlaka hayo ya kumuita yeyote katika swala la usalama bila kupingwa kwa malumbano.
Kikwete aliwahi kusema tu madawa ya kulevya yanaingizwa na baadhi ya viongozi wa dini na akaandamwa sana mpaka akaamua kutulia, je Nchi hii ni ya watakatifu hakuna wanaoingiza unga? Mbona kila anaetajwa ni mkali na wafuasi wake wanamtetea?
WANANCHI WENZANGU TUSICHEZE NGOMA TUSIYOIJUA, UNAPOONA WAKUBWA WANAPAMBANA UJUE MASLAHI YAMEGUSWA.
NI MUDA WA MAPAMBANO NA KUMUUNGA MKONO MAKONDA NA ALIYE MCHAFU AJISAFISHE MWENYEWE.
Ndimi Mvumbo Kivugo.
Umenena mkuu kila mtu anakua kimyaaa ila anapoguswa anacharukaaaWANANCHI WENZANGU TUSICHEZE NGOMA TUSIYOIJUA, UNAPOONA WAKUBWA WANAPAMBANA UJUE MASLAHI YAMEGUSWA.
Hehehe we komaa na maisha yakoKumekuwa na kelele nyingi walipoitwa wasanii kituo cha polisi na wengi wakapaza sauti kuwa wanaonelewa tu, wakadai wakamatwe mapapa wa biashara hiyo na si mateja.
Wametajwa watu 'wakubwa' katika nchi hii ila cha ajabu kulalamika kumezidi! Nini hamaki yenu?
Makonda anaandamwa kuanzia ndani ya bunge na hadi katika vyama vya siasa, wafuasi wa waliotajwa nao mishipa ya shingo inawatoka!
Watu wa madawa ya kulevya ni kama wachawi, ukiambiwa bibi yako ni mchawi unaweza kudhani anaonelewa lakini hujui kuwa mambo hayo hufanyika kwa siri sana.
Hata akitajwa baba yako mzazi kuwa mpole maana huzijui harakati zake, na aliyetajwa hapaswi kuhamaki na kuanza kubwabwaja bali aache sheria ifanye kazi yake na kama ahusiki atakuwa huru na itakuwa ndiyo mwisho wa uvumi.
Matusi, kejeli na kashfa za kila aina anatupiwa makonda, huenda mmemchukia au kumdharau lakini kumbukeni kuwa anachojaribu kufanya kimewashinda wengi na pia kumbukeni anaposema yeye inasema kamati ya usalama ya mkoa wa Dar es salaam, hivyo ana mamlaka hayo ya kumuita yeyote katika swala la usalama bila kupingwa kwa malumbano.
Kikwete aliwahi kusema tu madawa ya kulevya yanaingizwa na baadhi ya viongozi wa dini na akaandamwa sana mpaka akaamua kutulia, je Nchi hii ni ya watakatifu hakuna wanaoingiza unga? Mbona kila anaetajwa ni mkali na wafuasi wake wanamtetea?
WANANCHI WENZANGU TUSICHEZE NGOMA TUSIYOIJUA, UNAPOONA WAKUBWA WANAPAMBANA UJUE MASLAHI YAMEGUSWA.
NI MUDA WA MAPAMBANO NA KUMUUNGA MKONO MAKONDA NA ALIYE MCHAFU AJISAFISHE MWENYEWE.
Ndimi Mvumbo Kivugo.
Ivi unazani manji au gwajima wangekamatwa na ushaidi wakawekwa ndani Kuna mtu angepiga kelele.Kumekuwa na kelele nyingi walipoitwa wasanii kituo cha polisi na wengi wakapaza sauti kuwa wanaonelewa tu, wakadai wakamatwe mapapa wa biashara hiyo na si mateja.
Wametajwa watu 'wakubwa' katika nchi hii ila cha ajabu kulalamika kumezidi! Nini hamaki yenu?
Makonda anaandamwa kuanzia ndani ya bunge na hadi katika vyama vya siasa, wafuasi wa waliotajwa nao mishipa ya shingo inawatoka!
Watu wa madawa ya kulevya ni kama wachawi, ukiambiwa bibi yako ni mchawi unaweza kudhani anaonelewa lakini hujui kuwa mambo hayo hufanyika kwa siri sana.
Hata akitajwa baba yako mzazi kuwa mpole maana huzijui harakati zake, na aliyetajwa hapaswi kuhamaki na kuanza kubwabwaja bali aache sheria ifanye kazi yake na kama ahusiki atakuwa huru na itakuwa ndiyo mwisho wa uvumi.
Matusi, kejeli na kashfa za kila aina anatupiwa makonda, huenda mmemchukia au kumdharau lakini kumbukeni kuwa anachojaribu kufanya kimewashinda wengi na pia kumbukeni anaposema yeye inasema kamati ya usalama ya mkoa wa Dar es salaam, hivyo ana mamlaka hayo ya kumuita yeyote katika swala la usalama bila kupingwa kwa malumbano.
Kikwete aliwahi kusema tu madawa ya kulevya yanaingizwa na baadhi ya viongozi wa dini na akaandamwa sana mpaka akaamua kutulia, je Nchi hii ni ya watakatifu hakuna wanaoingiza unga? Mbona kila anaetajwa ni mkali na wafuasi wake wanamtetea?
WANANCHI WENZANGU TUSICHEZE NGOMA TUSIYOIJUA, UNAPOONA WAKUBWA WANAPAMBANA UJUE MASLAHI YAMEGUSWA.
NI MUDA WA MAPAMBANO NA KUMUUNGA MKONO MAKONDA NA ALIYE MCHAFU AJISAFISHE MWENYEWE.
Ndimi Mvumbo Kivugo.
Kumbuka ameita watu akapate maelezo kama yataridhisha sawa atakuwa huru shida ni nini? Lakin wew ni nani hata ukereke?Njia aliyoitumia siyo !! Ya kukimbilia kutangaza watu bila evidence. Lazima aibike
Watu wa hovyo kama Makonda wanapatikana tu ndani ya taifa la kihuni lililopoteza dira...halijui linatoka wapi wala linaelekea wapi! Halafu wanatokea mijitu mijinga kama mleta mada eti linashangilia watu kuvunjiwa heshima bila ushahidi. Tundu Lissu alipomshutumu mtu kama dikteta uchwara kashupaliwa na vyombo vya usalama, sasa huyu Makonda kwa nini hana hata ustaarabu wa kuwaita kwanza na kuwahoji bila kuwatangaza hadharani?Brand yako itachukuwa muda mrefu kitengeneza lakini kuishusha ni kazi rahisi sana approach aliyoitumia makonda sio nzuri kwa sababu hana ushaidi wa kutosha wa kuwatia kizuizini
Hapo mwanzo si ndio nyie mlokua mkitaka watu watajwe na Kitwanga kwasababu kulikua na maslai yenu mlotegemea sasa imegeukia kwenu mnaona Makonda afai asinge mtaja mbowe yote malalamiko yasinge kuwepo.Watu wa hovyo kama Makonda wanapatikana tu ndani ya taifa la kihuni lililopoteza dira...halijui linatoka wapi wala linaelekea wapi! Halafu wanatokea mijitu mijinga kama mleta mada eti linashangilia watu kuvunjiwa heshima bila ushahidi. Tundu Lissu alipomshutumu mtu kama dikteta uchwara kashupaliwa na vyombo vya usalama, sasa huyu Makonda kwa nini hana hata ustaarabu wa kuwaita kwanza na kuwahoji bila kuwatangaza hadharani?
Usiwe muongo kijana, Makonda tulimpinga toka mwanzo na tunaendelea kumpinga kwa vitendo vyake vya kihuni bila kujali nani wanahusika. Na hatumtegemei mtu yeyote mwenye akili timamu kuunga mkono vitendo kama hivi visiyo na chembe cha busara wala hekima (viti vilivo adimu kichwani kwake)...kwanza yeye mwenyewe ni mtuhumiwa...ndio kuna watu wanamtuhumu, kwa nini hayumo kwenye hiyo orodha?Hapo mwanzo si ndio nyie mlokua mkitaka watu watajwe na Kitwanga kwasababu kulikua na maslai yenu mlotegemea sasa imegeukia kwenu mnaona Makonda afai asinge mtaja mbowe yote malalamiko yasinge kuwepo.
Kwani hao wengine walotajwa hawana jamii inayo wategemea?mpaka nao wasichafuliwe? Acheni zoezi lifanyike akuna mtakatifu chini ya jua
wanamtuhumu kisa ni tajiri 😀Usiwe muongo kijana, Makonda tulimpinga toka mwanzo na tunaendelea kumpinga kwa vitendo vyake vya kihuni bila kujali nani wanahusika. Na hatumtegemei mtu yeyote mwenye akili timamu kuunga mkono vitendo kama hivi visiyo na chembe cha busara wala hekima (viti vilivo adimu kichwani kwake)...kwanza yeye mwenyewe ni mtuhumiwa...ndio kuna watu wanamtuhumu, kwa nini hayumo kwenye hiyo orodha?