blackstone
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 128
Nimewahi kusikia hiki kitu na kwa wengine. Hivi kuna connection ganiUnalala Na fan?
Me pia nimesikia hivohivo kwamba ukilala Na fan usiku kucha unaamka ukiwa umechoka kabisa labda wataalam watusaidie kama kuna connectionNimewahi kusikia hiki kitu na kwa wengine. Hivi kuna connection gani
idea ya kuchoka inatoka kwenye concept ta process ya photonynthsesis ambapo ni kitendo cha mmea kujitengenezea chakula chake.Wakuu
Habari wana jf kuamka mwili ukiwa umechoka sana wakati mwingine kama umefanya kazi ngumu sana,inasababishwa na mambo gani kiafya au kimazingira
Natanguliza shukrani
Mkono wa kushoto ndio naolalia Kila nilalapo Na siamki nikiwa nimechokaAina ya chakula kabla ya kulala.
Wingi wa chakula kabla ya kulala.
Muda wa chakula kabla ya kulala.
Mtindo wa kulala,kamwe usilalie mkono wa kushoto.
Uzito wako,maumbile aina ya godoro na mto vyakuruhusu.Mkono wa kushoto ndio naolalia Kila nilalapo Na siamki nikiwa nimechoka
Nimewahi kusikia hiki kitu na kwa wengine. Hivi kuna connection gani
Anhaaa asanteeUzito wako,maumbile aina ya godoro na mto vyakuruhusu.
Ingawa umetumia anayoikimbia bwana yule..., ila nimekuelewa. Mana nami natumia fan tena speed ya mwisho ila nikiamka nakuwa kama nimebeba chuma kizito vileUse of fan causes DISPLACEMENT of oxygen from the surroundings leading to its reduced concentration. This in turn results into decreased oxygen supply vs demand, leading to effects of oxygen deprivation to the body such as one feeling tired e.t.c !!!!
wataalam wanasema unatakiwa ulalie mkono wa kushoto kuliko kulia, sasa wewe unasema kulia, nimeona articles nyingi zikisema kushoto unatakiwa ulalieAina ya chakula kabla ya kulala.
Wingi wa chakula kabla ya kulala.
Muda wa chakula kabla ya kulala.
Mtindo wa kulala,kamwe usilalie mkono wa kushoto.