Oscar Wissa
Senior Member
- Sep 5, 2018
- 128
- 196
Hakuna picha uliyowekaNimeweka picha hapo chini ili muone alibaba kunafananaje.
Hii naomba kukupinga, nimenunua vitu kutoka Alibaba kwa kutumia Mastercard ya M-pesa bila kuwa na sanduku la posta Wala kujaza form yoyote bank. Hii saa nilinunua Alibaba(ila ukipata master card lazima uombe benki wakupe form maalumu ujaze ili uweze kuruhusiwa kufanya manunuzi yako mtandaoni maana bila wao kuruhusu hivyo hutaweza kununua
Ukisoma neno kwa neno, point #2 UtabainiHii naomba kukupinga, nimenunua vitu kutoka Alibaba kwa kutumia Mastercard ya M-pesa
shipping adress ulijaza nn?? maana kinachonisumbua kununua ni kukosa sanduku la postaHii naomba kukupinga, nimenunua vitu kutoka Alibaba kwa kutumia Mastercard ya M-pesa bila kuwa na sanduku la posta Wala kujaza form yoyote bank. Hii saa nilinunua Alibaba
View attachment 2048909
Nilijaza ya kazini tu ambako niliondoka zaidi ya miaka Saba, kinachotakiwa zaidi ni namba ya simu inayopatikana na physical address. Mzigo ukifika wanakupigia simushipping adress ulijaza nn?? maana kinachonisumbua kununua ni kukosa sanduku la posta
Mpwa Mimi hatasijawahi kuzisoma Wala sijui kama zipo, niliweka pesa nikafanya manunuzi, last month nikaambiwa card ime-expire nikarudishiwa pesa yangu kwa M-pesaUkisoma neno kwa neno, point #2 Utabaini
Kimsing Card zote za benki (Physical Card), kiusalama, by default ZIMEZUIWA kufanya online transaction, Ila ukiwaeleza ndio wanaruhusu.
- Mwenzio anazungumzia Physical Card unayopewa benki
- Wakati wewe unazungumzia Virtul Card
Hivyo kwa maelezo yake mleta mada yeye yuko sahihi kwa upande wake.
Na wewe Bwana PGO upo sahihi kwa upande wako.
Terms za Virtual card ni tofauti na zile za benki, Je umewahi kusoma Terms za Vodacom MasterCard, au nikuwekee ujisomee na kubaini tofauti?
kufanya miamala mtandaoni: Kuna baadhi ya benki hadi ujaze fomu na kuna benki zingine ukiwaeleza tu wanashughulikia bila kujaza fomu, Hili ni moja.
-----👇
My Take
Tatizo liko kwa mleta mada kwenye #2 hajapangilia vyema, ili kuondoa mkanganyiko.
Japokuwa mimi nimemsoma na kumuelewa.
Tuelekeze wewe ulifanyaje? Na kuna tofauti ya alibaba ana aliexpress?Hii naomba kukupinga, nimenunua vitu kutoka Alibaba kwa kutumia Mastercard ya M-pesa bila kuwa na sanduku la posta Wala kujaza form yoyote bank. Hii saa nilinunua Alibaba
View attachment 2048909
Hizo card unatengeza kwa Vodacom tu au hata tigo? Na utaratibu upoje kama inawezekanaUkisoma neno kwa neno, point #2 Utabaini
Kimsing Card zote za benki (Physical Card), kiusalama, by default ZIMEZUIWA kufanya online transaction, Ila ukiwaeleza ndio wanaruhusu.
- Mwenzio anazungumzia Physical Card unayopewa benki
- Wakati wewe unazungumzia Virtul Card
Hivyo kwa maelezo yake mleta mada yeye yuko sahihi kwa upande wake.
Na wewe Bwana PGO upo sahihi kwa upande wako.
Terms za Virtual card ni tofauti na zile za benki, Je umewahi kusoma Terms za Vodacom MasterCard, au nikuwekee ujisomee na kubaini tofauti?
kufanya miamala mtandaoni: Kuna baadhi ya benki hadi ujaze fomu na kuna benki zingine ukiwaeleza tu wanashughulikia bila kujaza fomu, Hili ni moja.
-----👇
My Take
Tatizo liko kwa mleta mada kwenye #2 hajapangilia vyema, ili kuondoa mkanganyiko.
Japokuwa mimi nimemsoma na kumuelewa.
Virtual Cards waweza kutengeneza kwaVodacom tu au hata tigo? Na utaratibu upoje kama inawezekana
Sijui AliExpress MpwaTuelekeze wewe ulifanyaje? Na kuna tofauti ya alibaba ana aliexpress?
Safi sanaKatika kuagiza bidhaa China tuanzie mfano huu wa alibaba.
1-kwanza itabidi ufungue sanduku la posta katika tawi lolote lililo karibu na wewe
2-itabidi upate account ya benki na uwe unamiliki MasterCard au Visa card ya benki yoyote ile au mtandao wa simu yoyote ambao wanatoa huduma ya master card(ila ukipata master card lazima uombe benki wakupe form maalumu ujaze ili uweze kuruhusiwa kufanya manunuzi yako mtandaoni maana bila wao kuruhusu hivyo hutaweza kununua
3-ukishakamilisha hatua hizo mbili hapo juu kinachofuata ni ww sasa kufungua akaunti yako kwenye mtandao husika mf,alibaba ambapo utajaza taarifa zako kuanzia majina yako yote, namba ya simu(ianzie+255),kisha utaingiza nchi,mkoa,wilaya na sanduku lako la posta.
NB:hapa chini kuwa makini sana zingatia haya
1-wauzaji wote wa alibaba ambao wanatambulika wana nembo kuu tatu.
A🙁trade assurance-ina nembo ya dhahabu) hii inakuhakikishia ulinzi wa fedha zako na mzigo wako wakati wote mzigo unapoweka order yako na pia hata ikitokea mzigo umefika halafu mbovu utafidiwa na pia mzigo usipofika kwa wakati maalumu pia utasaidiwa
B🙁onsite inspection-nembo ya blue) hii inadhihirisha kuwa muuzaji huyo anajulikana na alibaba kuwa ni muuzaji halisi kama hana nembo hii basi achana nae
C🙁experience certification-nembo ya njano) hii inaonesha product zake ziko legit kwa kuuzwa kwenye site ya alibaba muda mrefu.
Kama muuzaji hana nembo hizo 3 hapo juu usinunue utaishia kupoteza pesa zako na pia hata kama muuzaji ni legit kitu cha kwanza unatakiwa kuweka order yako kwa sample ndogo kwanza kisha ukiridhia ubora wake utaweka order kubwa.
NB:malipo yanafanyika kupitia alibaba tu usije ukalipa nje ya alibaba utalizwa aisee.
Nimeweka picha hapo chini ili muone alibaba kunafananaje.
NB:gharama za usafirishaji inategemea na wewe unataka njia ipi na kila njia ina gharama zake mf express,aircargo,sea freight nk.mzigo unachukua siku3-30 kulingana na wewe unalipia aina ipi ya usafirishaji.
Kama una swali uliza ila kwa leo/sasa tuishie hapo kwanza
Ilifikajee sasa!? Maana Mimi najua lazima uwe na sanduku la posta ambalo mzigo wako utafikia,,hebu tupe maujanja inawezekana sisi tunazunguka sana aiseeHii naomba kukupinga, nimenunua vitu kutoka Alibaba kwa kutumia Mastercard ya M-pesa bila kuwa na sanduku la posta Wala kujaza form yoyote bank. Hii saa nilinunua Alibaba
View attachment 2048909
Kuna zile app za ku-track Mzigo tu, Wala sikua na usumbufu wowoteIlifikajee sasa!? Maana Mimi najua lazima uwe na sanduku la posta ambalo mzigo wako utafikia,,hebu tupe maujanja inawezekana sisi tunazunguka sana aisee
Ukiagiza alibaba bidhaa zikifika kuna malipo ya ziada hapa nchini au inakuwajeKuna zile app za ku-track Mzigo tu, Wala sikua na usumbufu wowote
Chief nataka niagize mzigo soon tu kupitia Alibaba, ntaomba unisaidie mkuu...Kuna zile app za ku-track Mzigo tu, Wala sikua na usumbufu wowote
Pamoja sanaChief nataka niagize mzigo soon tu kupitia Alibaba, ntaomba unisaidie mkuu...
Tr Nielekeze kwa tigo natengenezaje?Virtual Cards waweza kutengeneza kwa
- Tigo
- Airtel
- Vodacom
Fuata maelekezo kwenye menu ya simu yako kwa mtandao husika/ google search pia ili kuona maelekzo ya maandishi/video