Mkuu Mimi Niko singida huku ni balaa jua linapiga hatari kuna wakati unaweza hisi nyama za mwili zinaiva...sijui ww unaongea ukiwa wapi ila nijuavyo mimi hali ya hewa karibia kote inafanana...Wewe siyo mzima kichwani, hakuna juwa Kali wala mvuwa kipindi hiki.
Machinga wanauza bidhaa Kwa msimu, hata leso za kujifuta jasho haziuziki.
Watu wameelemewa na tozo wameacha kuendekeza na kupenda anasa kwa kutumia miamvuli.Jamani siku hizi umekuwa adimu Sana kukutana na watumiaji wengi wa ile miavuli kwa ajiri ya kujikinga na mvua ama jua tofauti na miaka ya nyuma, je hili linachangiwa na nini tena kipindi hiki ambacho kuna jua kali na mvua kuliko hata ilivyokuwa miaka ya nyuma?
Labda wengi wana magari.Jamani siku hizi umekuwa adimu Sana kukutana na watumiaji wengi wa ile miavuli kwa ajiri ya kujikinga na mvua ama jua tofauti na miaka ya nyuma, je hili linachangiwa na nini tena kipindi hiki ambacho kuna jua kali na mvua kuliko hata ilivyokuwa miaka ya nyuma?