Wakuu nipo Songea hapa toka jana, baadhi ya vituo vya mafuta hakuna Petrol, inaelekea wafanyabiashara wanaficha mafuta huenda wanategemea kupanda kwa bei karibuni huu si uungwana. Hebu mamlaka zichukue hatua.
Ni kwa sababu hakuna dollar za kununua mafuta, na kukosekana kwa mafuta itafanya usafirishaji na kila kitu kuwa very expensive, anguko la uchumi linakuja jiandaeni