dogo acha kulalamika kuhonga hutaki halafu unataka wasikukimbie,,izo ABCD mbwembwe tu, we toa hela tumia hela wape hela halafu rudi apa mwakani utaniambia.
Unaweza ukawa na hela lakini kama namna ya kuzitumia na mrembo hujui bado utaonekana boya na anakupiga chini vile vile baada ya kuzila na kukuona wewe sio type yake. (hii ni kwa wale wenye hela alafu wana matumizi ya kilimbukeni)