Kuacha vs Kuachwa

EBBAH

Member
Joined
May 8, 2017
Posts
75
Reaction score
75
Habari wana jamii..Nauliza jambo

Kuna tafiti zinasema Ni rahisi kumrudia mwanamke ULIYEMUACHA kuliko kumrudia mwanamke ALIYEKUACHA.

JE KUNA UKWELI NDANI YAKE?
Kama kuna kisa kilikutokea.Tafadhali share with us.
 
No sawa tu as long as viporo vikipashwa vinakua vya moto
 
Habari wana jamii..Nauliza jambo

Kuna tafiti zinasema Ni rahisi kumrudia mwanamke ULIYEMUACHA kuliko kumrudia mwanamke ALIYEKUACHA.

JE KUNA UKWELI NDANI YAKE?
Kama kuna kisa kilikutokea.Tafadhali share with us.
Ukweli mtupu huo kwani inawezekana kumrudia tena mwanamke uliyemuacha Kwa sababu moja ama mbili/tatu
1- uliyotegemea kuyapata Kwa mwanamke mpya hayapo kuliko mwanamke uliyomuacha
2 sio mwanamke mjenzi ila mtumiaji tofauti na uliyemuacha
3-kuachwa siku zote kunauma sana kuliko
Lazime ukipima hapo utarudi tu Kwa uliyemuacha kama hajapata nae wa kumlawaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…