miss personal cook
Member
- Apr 4, 2019
- 81
- 90
Habari wakuu naomba ushauri wenu hapa. Mimi ni mwajiriwa wa serikalini toka 2015. Sasa nataka niache kazi nijikite kwenye suala lingine.
Kinachonitatiza kuacha kazi ni kwamba nina mkopo benk ambao bado haujaisha.
Pia naombeni techniques nzuri zitakazonifanya niachishwe kazi na DED
Tembea na mtoto wake!!Habari wakuu naomba ushauri wenu hapa. Mimi ni mwajiriwa wa serikalini toka 2015. Sasa nataka niache kazi nijikite kwenye suala lingine.
Kinachonitatiza kuacha kazi ni kwamba nina mkopo benk ambao bado haujaisha.
Pia naombeni techniques nzuri zitakazonifanya niachishwe kazi na DED
Atembee na mke wa DED ndiyo itakuwa rahisi sanaTembea na mtoto wake!!
Laiti hata mie ningestuka mapema ningeandika barua ya kuacha kazi.Kwanini unataka kuacha Kazi Mkuu? DED amekufanya nini?
Atembee na mke wa DED ndiyo itakuwa rahisi sana
Usiende kazini siku 5 mfululizoHabari wakuu naomba ushauri wenu hapa. Mimi ni mwajiriwa wa serikalini toka 2015.
Sasa nataka niache kazi nijikite kwenye suala lingine.
Kinachonitatiza kuacha kazi ni kwamba nina mkopo benk ambao bado haujaisha.
Pia naombeni techniques nzuri zitakazonifanya niachishwe kazi na DED
Ikiwa DED ni mwanamke je?Atembee na mke wa DED ndiyo itakuwa rahisi sana
Kuna uzi unazungumzia suala hili, wajuzi watakutag
Atembee na mke wa DED ndiyo itakuwa rahisi sana