Inawezekana, uamuzi ni wako, unaweza kuupdate kwa wifi tu, au kwa itunes.. Ila nadhani iphone 4 wasingeiruhusu iwe na update ya ios 7 maana me nmeupdate ka iphone 4 changu apa naona kanalag lag, sometimes kanatake time kuload. Ios 7 ni nzuri ila dah kwa iphone 4 bora uchill na iyo 6.1.3 tu.