Samsung gani? Samsung nyingi huitaj ku unlock bootloader ili kuweka rom..Wana jamii...
Naomben msaada wa namna ya ku unlock bootloader ya samsung device kwan nilijaribu kuinstall rom nyingine simu ikanipa ujumbe wa could not boot normally ikastack hapo hapo had utoe betri na ukiwasha inarudi Palepale
hiyo mbona ni rahisi sana haina haja ya ku unlock boot loader julish km ili flash hadi mwishosamsung note 3
nahitaji kuweka custom rom hii inastack sana
Huitaj ku unlock bootloader... Umeweka rom gani hadi umepata shida? Kama issue ni kustuck Nakushaur urudi tena stock rom... Kwani ulikua una run android version gani before?samsung note 3
nahitaji kuweka custom rom hii inastack sana
Rudi hata kitkat usklzie then uje kupandisha lolpop siku zingineandroid 5.0
Haitaweza hadi ukubali mwenyew ku update....ok asante ngoja nifanye hvyo mkuu...haitaweza kujiupdate to lollpop?
DohMsaada Na Mimi...
Nilikuwa naflash xbo m8, in clone ya HTC....ilikuwa INA stuck kwenye boot image...sasa baada ya kuflash...ikawa bado inaishia hapo hapo...
Natumia so flash tool, hii ina option ya Ku format, so nikaformat kila kitu...
Sasa ndo imegoma kuwaka kabisa, lkn nikitumia sp flash tool...inakuwa detected, Na flashing inafanyika...lkn haiwaki..
Tatizo nini waungwana...
Yenyewe ni mt6572....
Nikachanganya scatter file, nikatumia scatter file ya mt6580, sasa ukichomeka kwa PC inakupa kale Ka tune Ka kuwa umechomeka kitu, lkn Kyle kwenye sp flash tool haiwe detected, vipi ndo imekufa au..
Msaada tutani jamani
Niki tick hapo kwa pre loader...nothing happened nduguDoh
Flash kwanza preloader ya simu yako alaf ulete majibu
Uki click download unapata ujumbe ganNiki tick hapo kwa pre loader...nothing happened ndugu
Hapana...hailete ujumbe wowoteUki click download unapata ujumbe gan
Basi tumia box kama vpHapana...hailete ujumbe wowote
Si ndo hizo za kununua...not soft one...its like a physical box eehBasi tumia box kama vp
Zipo crack zake... Ni soft tu bila boxSi ndo hizo za kununua...not soft one...its like a physical box eeh
Naomba link plz...Zipo crack zake... Ni soft tu bila box