Wana-JF. naomba msaada wa kupata softwere au jinsi ya kutuma meseji nyingi kwa watu wengi.
meseji nyingi namaanisha nitakapo ziandika kila mmoja apate meseji yake ambayo haifanani na ya mwingine.
mfano.
ninawafanyakazi wengi (6). Na kila mmoja ana majukumu yake nataka niandae maelekezo kwa kila mmoja kupata maelekezo yake yasiyo fanana na mwingi. Nikikamilisha kuandaa niwatumie kwa wakati mmoja. Nakila mmoja apate maelekezo yake tu.
Mwenye uwezo huo anielekeze kipi cha kufanya. JF-the greet thinkers.