Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Bado ni imani yangu kupata majibu yatakayosaidia kutokana na dhamira yangu.Dawa ya deni kulipa!
Nimekutania m k uu ucjarKweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Bado ni imani yangu kupata majibu yatakayosaidia kutokana na dhamira yangu.
Dah haka ka app kananisaidia sanaa manake nkiwa maeneo matukufu nazitupa namba za manyan'au wenzangu sero naonekana kama ptakatifu ka papa francesco di seteDownload true caller mkuu
Dah haka ka app kananisaidia sanaa manake nkiwa maeneo matukufu nazitupa namba za manyang'au wenzangu sero naonekana kama mtakatifu papa francesco di sete.Halafu usishau na ile truemassanger zote usefulDownload true caller mkuu
Umeona mkuu,inasaidia sana aiseeDah haka ka app kananisaidia sanaa manake nkiwa maeneo matukufu nazitupa namba za manyan'au wenzangu sero naonekana kama ptakatifu ka papa francesco di sete
hahahaaaDawa ya deni kulipa!
Massanger inasaidiajeDah haka ka app kananisaidia sanaa manake nkiwa maeneo matukufu nazitupa namba za manyang'au wenzangu sero naonekana kama mtakatifu papa francesco di sete.Halafu usishau na ile truemassanger zote useful
Mkuu hapo kwa barring password n zp napahitaj sn if posbo npe maujanjaaHaina haja ya kuzunguka sana, unapoteza MBs za bure, ku-block all incoming calls, nenda call setting, halafu barring, halafu incoming calls, weka password yenye tarakimu nne, mchezo umekwisha.
Inategemea na network provider wako, kila mtandao una barring password zake, piga huduma kwa wateja uwaambie naombeni barring password za mtandaoni wenu, watakutajia.Mkuu hapo kwa barring password n zp napahitaj sn if posbo npe maujanjaa
Halafu ukiwa na demu wako akaamua kukupigia mkiwa hapo hapo ili ahakikishe?Mkuu hapo kwa barring password n zp napahitaj sn if posbo npe maujanjaa
Nikidownload true caller no other operations to be done? Then how na-block the desired number?Download true caller mkuu
Nikidownload true caller no other operations to be done? Then how na-block the desired number?
Kunasehem utaingia kwenye hyo namba,then kuna option ya kubroke,its esayNikidownload true caller no other operations to be done? Then how na-block the desired number?
Utaona hapa hapa. Nadhani tuwe na subira tu jibu la ukweli litatupiwa tu hapa.Ukijibiwa nambie
Ingia playstore/app store tafuta application ya True caller ina option ya kublock messages na Calls..Hii app nzuri sanaJukwaani tafadhali nawaomba nisaidieni namna ya kuzuia mtu asinipigie kwenye mwito wa simu wa kawaida. Upande wa WhatsApp sina tatizo napo, lakini mwito wa kawaida wa simu sifahamu hatua zinazochukuliwa ili kuzuia mtu asikupigie.
Nawasilisha nikiwa na matumaini makubwa ya kusaidiwa katika hili.
Mkuu umesaidia wengi....asanteIngia playstore/app store tafuta application ya True caller ina option ya kublock messages na Calls..Hii app nzuri sana