A AbasMzeEgyptian JF-Expert Member Jul 20, 2011 407 312 Jul 24, 2011 #1 wiki iliyopita wamefanya mzinga wa party pale mlimani kusherekea makampuni 100 muhimu zaidi Tanzania mbona list wanaifanya siri? Kulikoni KPMG au ndio mambo ya akina Arthuranderson?
wiki iliyopita wamefanya mzinga wa party pale mlimani kusherekea makampuni 100 muhimu zaidi Tanzania mbona list wanaifanya siri? Kulikoni KPMG au ndio mambo ya akina Arthuranderson?
Mshiiri JF-Expert Member Jun 16, 2008 2,012 508 Jul 24, 2011 #2 Tuweke makampuni hapa kwa anayeyafahamu na kisha tuhoji kwa nini?
Chimunguru JF-Expert Member May 3, 2009 10,678 4,351 Jul 24, 2011 #3 KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN zinawasuta
C calmdowndear JF-Expert Member Jul 12, 2011 605 273 Jul 25, 2011 #4 this should be interesting... hamna kitu kwenye website yao
O otangetisam Member Dec 31, 2008 15 3 Jul 25, 2011 #5 Tafuta the Citizen la jana jumapili tarehe 24,soma front page na inside poage 5,6 and 7
jebs2002 JF-Expert Member Sep 3, 2008 8,837 7,606 Jul 25, 2011 #6 Dodoseni hapa, ila tena hakuna io list Cut bureaucracy to spur business growth, says Nyalandu
L LAT JF-Expert Member Nov 20, 2010 4,401 1,312 Jul 25, 2011 #7 sasa subiri ...... TRA wamepata deal ...... haya makampuni yanayojifanya top 100 hayatapumua KPMG ni undercover agent wa TRA
sasa subiri ...... TRA wamepata deal ...... haya makampuni yanayojifanya top 100 hayatapumua KPMG ni undercover agent wa TRA
A Akiri JF-Expert Member Sep 21, 2010 1,445 212 Jul 27, 2011 #8 majina ya makampuni na nafasi yalizoshika yameorodheshwa kwenye gazeti la the Citizen on Sunday
D Diaryjr Senior Member Jun 15, 2015 190 131 Jun 16, 2015 #9 Zoezi la kutafuta makampuni bora kwa mwaka huu linaendelea. Kama ungependa kushiriki nicheck pm