Hongera kwa kuchaguliwa hii course.Ni kozi nzuri,ajira ni moja kwa moja ukitoka shule
Mshahara wake kwa mtu anaeanza ni TGHS D ambayo ni milioni moja na laki mbili na kumi na tano bila makato
Kama umechaguliwa Muhimbili inabidi ujipange kwa sababu kwenda pale is a gift lakini kutoka salama is a fight.Good luck