Kozi ya uandishi wa habari

Kozi ya uandishi wa habari

NABII ELIAH

Member
Joined
Oct 25, 2022
Posts
14
Reaction score
6
Wakuu kutokana na kichwa cha habari hapo juu mm ni kijana wa miaka 25 napang kwenda chuo mwaka huu napenda sana kuwa mwandishi wa habari lakini naona wadau wananiambia eti hii kozi mkopo ni changmoto na mm tegemeo langu ni mkopo naombeni ushauri jamani mana nachoka
 
Back
Top Bottom