Kozi ya shahada ya sheria chuo kikuu huria

Joined
Nov 10, 2014
Posts
48
Reaction score
19
Naomba mwenye uzoefu au aliyesoma kozi ya sheria katika chuo kikuu huria,nataka kujua nasoma mnasoma unit ngapi kwa muhula wa kwanza na natakiwa kujichanga shilingi ngapi ili angalau niweze kuwa admitted na kuanza masomo kwa semesta ya kwanza.
Natanguliza shukrani
 
Njoo pm mkuu nikupatie namba za mkurugenzi wa mawasiliano, atakueleza kila kitu.
 
First year utasoma koz sita , computer, comm skills,legal methods,criminal law and procedure,law of contract,constitutional law,_ ada Ni Kama 1.1 m kwa mwaka

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…