Kozi ya MECHA-TRONICS

periodic table

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2019
Posts
208
Reaction score
516
Hii ni koz imeanzishwa na chuo kimoja Cha private mwaka huu,vijana wa kitanzania wamepata bahat ya kujifunza mechanics iliyochanganywa na electronics ..

Hii nimeipenda bze inaendana na currently situation na maendeleo yaliyoko dunian kitekinolojia...

Kwa vyuo vya gvt pia natoa wito wangu muangalia kwa jicho la tatu koz hii ili vijana wawe compitence kufanya kazi sehem yoyote dunian Kwan kwa hali ya Sasa ni ngumu kutenganisha mechanics na electronics..


N:B_Sina interest yeyote na hili na nakaribisha mawazo mbadala ..
 
DIT ipo zaidi ya 10 yrs back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…