Habari
wanajamii Forums!!!!
Naomba kuuliza je kuna kozi inayotolewa
sehemu ihusuyo mambo ya Blog?
Sababu napenda siku moja kuwa Blogger
kama unafahamu hiyo kozi naomba
unifahamishe ili niweze kama ni kusoma ili
nifahamu zaidi!!
Habari
wanajamii Forums!!!!
Naomba kuuliza je kuna kozi inayotolewa
sehemu ihusuyo mambo ya Blog?
Sababu napenda siku moja kuwa Blogger
kama unafahamu hiyo kozi naomba
unifahamishe ili niweze kama ni kusoma ili
nifahamu zaidi!!