Iko Poa tu mkuu... Karibu sua... Then ukishafika utajua iko Vipi.. Kama usipopenda... Unaweza kubadilisha... Zipo degree programs kibao nzuri zaidi ya 30 so usihofu... U can Change....
Karibu SUA mkuu me nasoma BSc Agronomy.. Hivyo siwezi kukupa details zaidi labda unicheki inbobo nikupe numbe Za Wadau wanaopiga cozy hiyo