Kusoma Architecture hakikisha una plan B, wallah nakuambia.., yaan investment unayofanya ya muda wa miaka mi5 then unatoka hapo na deni la milioni 40 HESLB halafu unakutana na dharau za kixenge mtaani.., acha kabisa; ndio maana nasema maisha usiyawekee formula, hayana kanuni..., hahaha