Kozi gani nzuri kwa masomo ya sayansi?

UZZIMMA

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
410
477
Habari wana ndugu. Nimepiga PC mwaka jana na nikapata matokeo ya kawaida tu.
Phy D
Chem B
Geo D.
Math, Bio, Kisw, Eng na Islam ni C.

Je ni kozi gani nzuri ukitoa Clinical Medicine, Medical laboratoy, Nurse na Pharmacy?

Nikisema nzuri namaanisha iwe na soko kubwa katika ajira, bila kujali uadimu wa kozi au umaarufu wake.
 
Mbona marks zako nzr kwenda Advance mkuu, au unataka short cut kama syo long cut
 
Haya maswali ya ajabu, yaan mpaka unasoma PC bado tu hujajua kozi ya kusoma...nenda Advance kama vp ujipange upya
 
Habari wana ndugu. Nimepiga PC mwaka jana na nikapata matokeo ya kawaida tu.
Phy D
Chem B
Geo D.
Math, Bio, Kisw, Eng na Islam ni C.

Je ni kozi gani nzuri ukitoa Clinical Medicine, Medical laboratoy, Nurse na Pharmacy?

Nikisema nzuri namaanisha iwe na soko kubwa katika ajira, bila kujali uadimu wa kozi au umaarufu wake.
Diploma in diagnostic radiotherapy
 
Habari wana ndugu. Nimepiga PC mwaka jana na nikapata matokeo ya kawaida tu.
Phy D
Chem B
Geo D.
Math, Bio, Kisw, Eng na Islam ni C.

Je ni kozi gani nzuri ukitoa Clinical Medicine, Medical laboratoy, Nurse na Pharmacy?

Nikisema nzuri namaanisha iwe na soko kubwa katika ajira, bila kujali uadimu wa kozi au umaarufu wake.
Medical lab
 
mkuu naomba ushauri kuna ugumu gn kurudia mtihani wa kidato cha nne? na ni principle zp za kufata hl kufaulu?
 
Ugumu uliokuwepo ni kitendo cha kusoma syllubus ya kidato cha kwanza hadi cha nne ndani ya mwaka mmoja badala ya minne.

Mbinu ni kujitahidi kwa hali na mali kumaliza syllubus na kufanya mitihani mingi ya kujipima huku ukimuomba Mungu kwa imani yako ya dhati kabisa.

Kama ulifeli kidato cha nne tambua kwanza, ulifeli kwa nini ndio urudie. Kujua tatizo ndio kutibu tatizo! Hayo ni machache, japo nakaribisha maswali. (napenda kuuliza na kuulizwa)
 
Back
Top Bottom