Habari za mda wadau
Kwanza poleni kwa majukumu.
Nimefungua huu uzi nikiomba mnishauri ni degree gani nzuri naweza fanya kwa masomo na ufaulu wangu
HGE
Hist C
Geo C
Eco C
Bam D
Na 1 ya point 9
Ni chuo kipi kizuri naweza enda na cozi ambayo ni nzuri na marketable kwa sasa
Natanguliza shukran
N. B majibu yawe ya kujenga na sio kubomoa au kukatishaa tamaa maana kuna watu wanajibu wanavyopenda wao kama huna uelewa na jambo hili TAFADHARI usijibu.