Habar wakuu Wa jamvi naomba ufafanuzi kuhusu course hizi mbili Bachelor degree of procurement and logistics management v/s bachelor degree of transport and logistics management.
Nahtaji kujua IPI n koz nzur zaid?
IP inasoko LA ajira zuri.Msaada wenu n mhm sana
Kila kozi ni nzuri inategemea utayari wako, na nn unaona unaweza kukifanya vizuri. Ukiwa na ujuzi mzuri hata ukisomea digrii ya kumwagilia maua utapata kazi tu. usikilize moyo wako unataka nn, that's all.