mimi nimelala kabisa ofisini mpaka jumatano ndio narudi nyumbaniiiii....
wewe utakuwa kwa small house.mmepata pa kusingiziamimi nimelala kabisa ofisini mpaka jumatano ndio narudi nyumbaniiiii....
<br>mimi nimelala kabisa ofisini mpaka jumatano ndio narudi nyumbaniiiii....
Very good decision, yanini karaha na usumbufu wa hali ya juu.
Du! Typical Njagu with typical mikwara .. lakini nimipenda sana. key words ...Kova
ameyasema ayo Tbc muda
mfupi uliopota akizungumzia ujio wa mnyamwezi Obama..
pia ametoa tahadhari kama utapaki gari lako pembeni ya barabara
litachukuliwa kama chuma chakavu na usimlaumu mtu kwa hilo kwani kesho
Posta magari hayatatembea watu watatembea kwa miguu tu.." ata ukinuna
utaonekana na utaonekana mpaka Marekani kwani kuna mitambo maalumu "
alisikika Kova ambaye alivaa full gwanda kuonyesha msisitizo..
Kwaio hii ni tahadhari kwa ndugu zangu msije mpa shavu Kova kuonekana
CNN kwani anaonyesha kapania sana..
mimi nimelala kabisa ofisini mpaka jumatano ndio narudi nyumbaniiiii....
baba toto na yeye kaniambia atalala ofisini Kumbe ni janja yake ya kuhamia nyumba ndogo sasa atanikomamimi nimelala kabisa ofisini mpaka jumatano ndio narudi nyumbaniiiii....
mimi nimelala kabisa ofisini mpaka jumatano ndio narudi nyumbaniiiii....
mimi nimelala kabisa ofisini mpaka jumatano ndio narudi nyumbaniiiii....