Kwa Yanga mpya inayokuja, Kotei atakuwa mchezaji wa kawaida sana.INAELEZWA kuwa Kiungo bora kwa msimu wa mwaka 2018/19 alipokuwa Simba, James Kotei yupo kwenye mazungumzo na Uongozi wa Yanga ili ajiunge na mabingwa hao wa kihistoria waliotwaa ubingwa mara 27.
Habari zinaeleza kuwa, Kotei ambaye alisepa Simba msimu wa 2018/19 baada ya kandarasi yake kumeguka na kujiunga na Kaizer Chiefs kwa sasa yupo kwenye hesabu za Yanga ili aongeze nguvu ndani ya kikosi hicho ambacho kimeanza kurejea kwenye kasi yake.
"Kotei yupo kwenye hesabu za kutua Yanga kwa sasa kutokana na uwezo wake mkubwa ambao anao, dirisha dogo wanajipanga kuongeza nguvu ukizingatia kuwa kocha mpya ameletwa," alieleza mtoa taarifa huyo.
NB:Habari mbaya sana kwa wale
Kivipi mzee
Afadhali amejiongeza.Kule alikuwa anachoma mahindi sana.Benchi lilimzoea.INAELEZWA kuwa Kiungo bora kwa msimu wa mwaka 2018/19 alipokuwa Simba, James Kotei yupo kwenye mazungumzo na Uongozi wa Yanga ili ajiunge na mabingwa hao wa kihistoria waliotwaa ubingwa mara 27.
Habari zinaeleza kuwa, Kotei ambaye alisepa Simba msimu wa 2018/19 baada ya kandarasi yake kumeguka na kujiunga na Kaizer Chiefs kwa sasa yupo kwenye hesabu za Yanga ili aongeze nguvu ndani ya kikosi hicho ambacho kimeanza kurejea kwenye kasi yake.
"Kotei yupo kwenye hesabu za kutua Yanga kwa sasa kutokana na uwezo wake mkubwa ambao anao, dirisha dogo wanajipanga kuongeza nguvu ukizingatia kuwa kocha mpya ameletwa," alieleza mtoa taarifa huyo.
NB:Habari mbaya sana kwa wale
Ivi ile kesho si ndio Leo jamani tetesi fc vipi kotei ndege imepotea nin mpaka saiz ajatua bado mhmmm
Kama Mudi na 20BlYanga bhana wanapiga sana kamba mashabiki wao
kuna kipindi walimfatilia akawajibu bora hata awe hana timu ya kucheza kuliko kuja yanga sasa huyu anaota badhani
Utopolo kwa punieto tu wako vizuriView attachment 1657412