Kosa Watanganyika.

Joined
Dec 24, 2012
Posts
15
Reaction score
3
Hotuba ya Raisi wetu Jakaya Kikwete nimeisikia na kumuelewa vizuri kabisa, hasa juu ya Muungano wetu na wazo letu juu ya serikali mbili au tatu. Kwa mawazo yake na chama chake, muundo wa serikali mbili ni bora zaidi kuliko serikali tatu. Kwa ushauri wake akasema ili kutatua kero za muungano ni vema Zanzibar wapewe uhuru na madaraka kamili kama nchi bila kuingiliwa au kuamuliwa na Jamuhuri ya mwuungano. Kama Zanzibar itakuwa huru na yenye madaraka kamili ipo wapi Tanganyika huru yenye madaraka kamili? Je Kusimama kwa Tanzania bila Tanganyika huru kama Zanzibar kuna usalama wa mwuungano? Kosa letu kama Watanganyika nini hata nchi yetu ifutwe katika ramani ya Dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…