kosa langu ni lipi kwa msichana huyu!!?

songa mbele kaka hapo unapoteza muda.kama umemzimia ni PM nikupe mbinu za medani umfyatue...karibu mjukuu wangu
 
kwa nini wanaume wote mnapenda uhusiano wa ngono tu? msichana asipokubali ngono mnamuona hafai, kwa nini lakini? kwa nini mnapenda kuwapresha wasichana kuwapa ngono,why? yawezekana binti anakupenda ila tu hayuko tayari kufanya ngono na wewe, kwa nini msiliongee hilo mkubaliane mpeane muda until the right time? jamani hebu tusilimit akili zetu upande mmoja, tuangalie na upande mwingine wa shilingi, sio kweli kwamba hatuna kabisa mabinti wenye maadili no.
najua pro-ngono mtakuja kunishambulia hapa lakini ukweli ndo huo.
 
kwa nini wanaume wote mnapenda uhusiano wa ngono tu? Msichana asipokubali ngono mnamuona hafai, kwa nini lakini? Kwa nini mnapenda kuwapresha wasichana kuwapa ngono,why? Yawezekana binti anakupenda ila tu hayuko tayari kufanya ngono na wewe, kwa nini msiliongee hilo mkubaliane mpeane muda until the right time? Jamani hebu tusilimit akili zetu upande mmoja, tuangalie na upande mwingine wa shilingi, sio kweli kwamba hatuna kabisa mabinti wenye maadili no.
Najua pro-ngono mtakuja kunishambulia hapa lakini ukweli ndo huo.

he he he unachekesha sana pretty,eti binti anakupenda lakini hayuko tayari for sex,halafu jitu lingine linakuwa linacharaza
kila siku,huku wewe unasubiri the right time......haha ha....
 
kwa nini wanaume wote mnapenda uhusiano wa ngono tu? msichana asipokubali ngono mnamuona hafai, kwa nini lakini? kwa nini mnapenda kuwapresha wasichana kuwapa ngono,why? yawezekana binti anakupenda ila tu hayuko tayari kufanya ngono na wewe, kwa nini msiliongee hilo mkubaliane mpeane muda until the right time? jamani hebu tusilimit akili zetu upande mmoja, tuangalie na upande mwingine wa shilingi, sio kweli kwamba hatuna kabisa mabinti wenye maadili no.
najua pro-ngono mtakuja kunishambulia hapa lakini ukweli ndo huo.
Carmel, you said it all, mwanaume akikudate bila kuumpa uroda anakuona hufai kabisa na wala humpendi, baadae ukimpa uroda unageuka kuwa muhuni ukimnyima humpendi, aaaghhhhhhhh, were do we stand????????
 
carmel, you said it all, mwanaume akikudate bila kuumpa uroda anakuona hufai kabisa na wala humpendi, baadae ukimpa uroda unageuka kuwa muhuni ukimnyima humpendi, aaaghhhhhhhh, were do we stand????????

sio wote,try me........u will be suprised,,,,
 
sio wote,try me........u will be suprised,,,,
Mhhh, mambo ya kutry tena ndio yale yale, mie namshauri Jackson27 awe na subira mpe huyo binti muda wa kutafakari na to make the right decision, give her time, kama ni wako ni wako tu even for next 2 or more years to come.
 
kaka sikiliza wewe jifanye upo bize akibp usipokeee wala nn atakuja mwenyewe tu huyo mbona wakooo!
mwenzio Shem wako alinisumbua kinima 10month,zen nikimuelezaga siku hizi huwa anacheeeeeka ndio kawaida ya wasichana wa makabila yafuatayo,Mchaga,Mzigua,Mbondei,Msambaa,Mrangi,Mhaya na Mmasai
 
wa nini wanaume wote mnapenda uhusiano wa ngono tu? msichana asipokubali ngono mnamuona hafai, kwa nini lakini? kwa nini mnapenda kuwapresha wasichana kuwapa ngono,why? yawezekana binti anakupenda ila tu hayuko tayari kufanya ngono na wewe, kwa nini msiliongee hilo mkubaliane mpeane muda until the right time? jamani hebu tusilimit akili zetu upande mmoja, tuangalie na upande mwingine wa shilingi, sio kweli kwamba hatuna kabisa mabinti wenye maadili no.
najua pro-ngono mtakuja kunishambulia hapa lakini ukweli ndo huo.

si kwel wanawake wengi siku hiz huwa ndo wanalazimisha mapenzi kama hujui
 
kaka sikiliza wewe jifanye upo bize akibp usipokeee wala nn atakuja mwenyewe tu huyo mbona wakooo!
mwenzio Shem wako alinisumbua kinima 10month,zen nikimuelezaga siku hizi huwa anacheeeeeka ndio kawaida ya wasichana wa makabila yafuatayo,Mchaga,Mzigua,Mbondei,Msambaa,Mrangi,Mhaya na Mmasai

Lol! Mwe! Haya, karibu jamvini. Post ya kwanza kwako lakini ina akili kwelikweli. Nashukuru kwa kujiweka wazi kuwa wewe ni She. Hiyo red nimeipenda sana
 
kaka sikiliza wewe jifanye upo bize akibp usipokeee wala nn atakuja mwenyewe tu huyo mbona wakooo!
mwenzio Shem wako alinisumbua kinima 10month,zen nikimuelezaga siku hizi huwa anacheeeeeka ndio kawaida ya wasichana wa makabila yafuatayo,Mchaga,Mzigua,Mbondei,Msambaa,Mrangi,Mhaya na Mmasai

wajameni wachaga wameshaekwa humu tena mbona mna visa?
 
wajameni wachaga wameshaekwa humu tena mbona mna visa?

Pole, wameingia sebuleni kwako bila kubisha hodi. Hahahaha! Ntamwambia mbunge wetu, aftaroo ile kesi atashinda tu.
 
Huyu anakuchuna mkuu na nyie wafanyakazi wa bank videmu iwa vinawashobokea kinoma vinajua mnavuta mikwanja kweli kweli vikija na kuona wekundu wamepangana kama vitabu vinachanganyikiwa sana sana huyu hakufai piga chini kama vp we mega tu tu kisha sepa.
 
Marahaba dada/kaka JS. Are you OK? Miss you a lot. Sasa mbona jana hukuja kama tulivokubaliana?

yani wacha tu nitakuPM nikupe sababu kwa nini. halafu mbona unaniita jinsia ambayo sio???unamtisha Jackson27 bureeee
 
yani wacha tu nitakuPM nikupe sababu kwa nini. halafu mbona unaniita jinsia ambayo sio???unamtisha Jackson27 bureeee

Niko mazoezini nataka kumwangamiza Jackson. Naona nisipokuwa ngangari ntakupoteza.
 
Back
Top Bottom