Kosa la kampeni za UKAWA

Sasa kwa taarifa yako hilo hilo fisadi ndio wananchi wanamtaka na nchi anaichukua kwa nguvu za wananchi sio nguvu yako. Na Ikulu ni kwa yule mshindi. Miaka 50 mnang'ng'ania Ikulu ni ya baba yenu Lowassa ameshashinda.
Hii nguvu aliyoshindwa kuitumia ndani ya ccm ina athari gani nje ya ccm au ndani ya Ukawa iliyogawanyika?
 
CHADEMA watashindwa vibaya na hawataamini. Nikweli wanatumia nguvu nyingi sana kum promote Lowassa mpka wanawasahau wabunge wao na madiwani.yani watashindwa ktk urais na watashanga kupoteza majimbo mengi tofauti na mwaka 2010.
wengi tumeona hiyo. wanajibaragua kama size ya ccm wakati sio chochote. oct 25 ndio wajue hiyo chadema mwisho machame kura zote ni kwa mtu muadilifu mchapa kazi magufuli.
 
 
Ulifuatilia ule mkutano wa Magufuli Kule Songea na Morogoro? Kwani Magufuli aliuliza wananchi watampa nani kura ikifika tarehe 25 Oct. Uwanja mzima ulijibu Lowaaaasaaaaa!!! Je kwa matukio hayo hicho ulichokiandika unauhakika nacho? Au umeandika kishabiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…