Ninayofuraha kuwatangazia kuwa nauza korosho bei sawa na shambani ninapatikana Dodoma, Korosho ni safi zinachambuliwa kabla ya kuzifunga na kuzipima kwny mzani ndipo nawapelekea walaji.
Karibuni niwahudumie kwa bei ya Jumla na Rejareja. Itapendeza zaidi ukinitafuta kwa namba 0718137662