malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,717
- 4,295
Habari wakuu Mzee wangu umri miaka65,alianza kuuma sana korodani zote na nyonga na mapaja,korodani moja limejaa limevimba ukubwa wa ngumi
Sasa baada yakumfikisha hospital imeonekana vipimo korodani limegeuka na pia ana infection,Sasa wamesema dawa wanampa kwa siku mbili hizi kuangalia kama litarud au laa,kama halitarudi wamesema afanyiwe operation.
Nauliza hivi operation ya kurudisha korodani huwa ina Ugumu na athari zake zikoje,Yuko Benjamin mkapa