Korea ya Kaskazini yaujaribu mtambo wake wa makombora

Dark Angel

JF-Expert Member
Sep 12, 2013
212
220
3f1322a290887d403572feb66c77c073.jpg

Kim Jong-un
Korea Kaskazini imesema kuwa imefanikiwa kufanya majaribio ya mtambo wake mpya, ambao unaweza kurusha makombora kutoka bara moja hadi jiingine, katika juhudi za kuimarisha uwezo wake wa kufanya mashambulio dhidi ya Marekani.
Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vinasema kuwa zoezi hilo liliongozwa na kiongozi wa taifa hilo Kim Jong-un.
Jaribio hilo ni katika harakati za hivi karibuni za utawala wa Pyongyang wa kuunda zana za nuklia tangu ilipofanya jaribio lake la nne la makombora ya nuklia January mwaka huu.
Hatua hiyo iliiushurutisha Umoja wa Mataifa kuiwekea Korea Kaskazini vikwazo vipya.
Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imetoa wito kwa utawala wa Pyongyang kujiepusha na vitendo vyake vya uchochezi.


#BCC
 
Safi sanaaa...wanakuita masikini..nawe semaa naaam.makin.jeur nafanya yangu......marekan hawalali kila siku kuitishi vikao..huko japan leo G7 moja ajenda n kuhusu huyu mkali aiseee......disgn flan kama kuna Kapanya kasumbufu kapo chumban kila usiku kanapiga kelele na hakakamatiki.....n sawa n.korea ktk hii dunia......kim anakibur cha kiume
 
Safi sanaaa...wanakuita masikini..nawe semaa naaam.makin.jeur nafanya yangu......marekan hawalali kila siku kuitishi vikao..huko japan leo G7 moja ajenda n kuhusu huyu mkali aiseee......disgn flan kama kuna Kapanya kasumbufu kapo chumban kila usiku kanapiga kelele na hakakamatiki.....n sawa n.korea ktk hii dunia......kjn anakibur cha kiume
 
Back
Top Bottom