koplo uhamiaji

Chilai20

Senior Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
104
Reaction score
10
habari zenu wakuu?
kwa wale mlomaliza usaili wa uhamiaji, naombeni munipatie yale maswala kwa anaekumbuka!
 
asante mkuu.... nimiminie hyo mengine mkuu
 
Maswali tena ya nini wakati majina yapo tayari kwa waliochaguliwa kwenda mafunzoni
 
habari zenu wakuu?
kwa wale mlomaliza usaili wa uhamiaji, naombeni munipatie yale maswala kwa anaekumbuka!

kwa nini nyinyi vijana hamjiamini? ndio maana interview za visa za marekani na uk mnatoswa sana. pale ubalozini utamuomba nani maswali?
 
kwa nini nyinyi vijana hamjiamini? ndio maana interview za visa za marekani na uk mnatoswa sana. pale ubalozini utamuomba nani maswali?

ww uko nchi gani?
 
Huku kwetu zanzibar hadi leo hii cjaskia majibu ya usaili naombeni majina yawaliwo chaguliwa jaman kwa huku zanzibar
 
Kukaa kimya ni sehemu ya busara, usaili uliisha tarehe 26 juni pale kurasini, matokeo yatawekwa ktk web ya migration yakiwa tayari, lakini pia kwa wale wa mkaguzi msaidizi interview ya pili imeisha tareh 3 jully, hivyo la msingi ni kuendelea kupitia web ya uhamiaji.nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…