Kontena 20ft linahitajika!

Kontena 20ft linahitajika!

M-pesa

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
602
Reaction score
152
Kwa mwenye kontena la 20ft aniuzie mimi. Nitampatia TZS 400,000 (laki nne). Liwe na hali nzuri.
Kontena liwe dar kwani nahitaji kwa ajili ya kuhifadhia vifaa vyangu.
Asante.
 
mwenye nalo tafadhali pm tufanye biashara. Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom