Kontainer 40 feet linauzwa bei poa

Kontainer 40 feet linauzwa bei poa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,138
Reaction score
365
Lipo maeneo ya Shekilango. Limeshatengenezwa vizuri kibiashara. Bei 6.5mil. kwa maelezo ya ziada au kuliona piga simu 0717114409 au 0784225000
 
Liko maeneo gani mkuu? Dar? Iringa? Mbeya? Khartoum au Salala?
 
Shekilango ipo Dar es Salaam mkuu au kuna shekilango sehemu nyingine duniani?
 
mimi nahitaji ambalo halijatobolewa pembeni kwa ajiri ya kwa ajiri ya kusafirishia mzigo
 
Au kama kuna mtu ana la 20ft, mwanza anishtue.
 
umeshalipata? kama hujapata nicjeki kwa 0712 78 79 39
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom