KONKII KONKII KONKII

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
211
Reaction score
146
Konkii konkii konkii

Jamaa anawatumbua uku akijiamini bila wogo wowote Aiseee sijui kawajuaje hawa waandishi wa Habari kama wamesha tolewa malinda
 
Inawezekana Mr. Konkiii konkiii konkiii master yeye ndo mchana marinda.
 
'..nothing personal bro,it's just a business..' Hitman

nikimchek Mr Konkii naona na ninapata picha yupo kwenye 'payrolls' ya maana,yenye mpunga..

*Nadhani baadaye atakuja kuwaomba msamaha hao anaowataja...na kuelezea hali halisi iliyokuwa imemkumba kimaisha.!
 
Ndio karudi hivyo tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…