mcrounmj
JF-Expert Member
- Feb 26, 2016
- 380
- 889
Habari wakuu wa jukwaa!
Leo nimemkumbuka member mmoja maarufu sana hapa jukwaani, ni kama miaka miwili yuko kimya, sioni tena mabandiko wala komenti zake. Wale wazee wenzangu ambao mmekuwepo mda mrefu hapa jukwaani mnaweza kumkumbuka!
Nimeanzisha uzi huu kuwakumbuka wazee wa jukwaa hili ambao walitamba miaka ya nyuma kidogo na saivi wamepotea.
Ni wengi tu waliopotea, yupo dada angu machachari lala 1, Evelyn salt, nyani ngabu na wengine wengi. Uwepo wao jukwaani ulilifanya jukwaa kuchangamka.
Nakumbuka maada motomoto za lala 1, zilizochalenji mawazo ya great thinkers wa jukwaa, saiv anaonekana jukwaani kwa kushtukiza either mara mbili kwa mwaka, hii inaweza kuwa ni majukum yamemtinga ama umri umeenda sana akaamua haya mambo awaachie vijana akina nyani ngabu, si unajua kila kitu na wakati wake.