zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
[emoji23][emoji23][emoji23]Hakika anastahili pongezi:
• Upigaji umerudi kwa kasi isiyomithilika
• Maisha yamezidi kuwa magumu, ajira hakuna hata pale Watanzania wanapojiongeza na kutafuta kipato kupitia Umachinga wamefukuzwa kama mbwa
• Vifo vinavyosababishwa na uzembe wa wafanyakazi wa umma na ajali vipo juu kuliko wakati wowote
• Mfumuko wa bei upo juu kuliko kipindi chochote kwa miaka zaidi ya sita iliyopita
• Madaraka wanapeana kwa urafiki na kujuana
• Deni la taifa linakua kwa kasi ya ajabu
• Wauza madawa ya kulevya na mafisadi wanatamba mitaani sasa hivi
• Uhalifu umeongezeka
• List ni ndefu sana.
Nani kama mama?
Aisee.!nikipata nauli Ntakuja wakati huo itakuwepo Treni ya Umeme ni lisaa tuTupia picha hapa ili tuone kama kweli machozi yanakulenga. Yasjekuwa ni machozi ya mamba.
Kweli kabisa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] uzuri mimi hayanihusu mtajuana wenyewe
Hakuna kama mama,Kila anaekata rufaa kesi za madawa ya kulevya na kesi zingine zote Anashinda rufaaa,Hakuna kama mama.Nani kama mama?
Ukitaka kufa mapema na kununa kila saa fuatilia siasa na uongozi wa taifa hili... Siku hizi sifuatilii habari zozote zinazohusiana na mambo ya sirikali labda nikutane nazo humu.Kweli kabisa
Nafurahi siku nikija Dar arena ya Wasanii itakuwa tayari na Treni ya Umeme pia sina hakika kama Umeme utakatika wakati Treni iko Katika mwendo...Hakuna kama mama,Kila anaekata rufaa kesi za madawa ya kulevya na kesi zingine zote Anashinda rufaaa,Hakuna kama mama.
Labda ipo siku kilio chao atakisikia Mola muumba MbinguUkitaka kufa mapema na kununa kila saa fuatilia siasa na uongozi wa taifa hili... Siku hizi sifuatilii habari zozote zinazohusiana na mambo ya sirikali labda nikutane nazo humu.
Kuna mambo yanaumiza nafsi na kuyabadilisha huwezi. Watu wengine wako wanapiga vigelegele
Labda una nyota ya Kuku mkuu ndio maana mbele yako unaona Pumba tu.Uzi sijausoma ila mwandiko unaonyesha kilichoandikwa ni pumba