Kwanini kusiwe na kongamano la pamoja la watu wote ambao wamemaliza vyuo vikuu na vyuo vingine mbalimbali na hawajafanikiwa kupata kazi/ajira yoyote ile ili waweze kujuana na kupeana changamoto mbalimbali na jinsi ya kuzikabili, ikiwa ni pamoja na kuishinikiza serikali itoe mianya ya ajira kwa hao watu.