Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,896
- 287,986
Unisamehe sana Leo natumia techno ya tochiBila picha ni porojo
Agreed 💯Unisamehe sana Leo natumia techno ya tochi
Ama kwa hakika CHADEMA inatisha, Leo hii ukumbi wa Landmark Hotel umetapika wasomi kwenye kongamano la. Chaso kiasi cha kuhatarisha hata usalama wa wahudhuriaji
Ama kweli Bila Polisi CCM ni wepesi kuliko Pamba.
Acha propaganda limetikisa Dar ipi?Ama kwa hakika CHADEMA inatisha, Leo hii ukumbi wa Landmark Hotel umetapika wasomi kwenye kongamano la. Chaso kiasi cha kuhatarisha hata usalama wa wahudhuriaji
Ama kweli Bila Polisi CCM ni wepesi kuliko Pamba.
Macho unayo?Acha propaganda limetikisa Dar ipi?
HakikaChadema no mipango wa Mungu
Usiondoke jfSa mbona hakuna picha mkuu
Ama hata zaidi ya uji wa mgonjwa mahututi!Ama kwa hakika CHADEMA inatisha, Leo hii ukumbi wa Landmark Hotel umetapika wasomi kwenye kongamano la. Chaso kiasi cha kuhatarisha hata usalama wa wahudhuriaji
Ama kweli Bila Polisi CCM ni wepesi kuliko Pamba.