The Kop JF-Expert Member Aug 7, 2010 209 92 Apr 12, 2011 #1 natamani UDASA waandae konganamano kati ya Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) na Umoja wa Vijana CCM (UVCCM). hii itatuwezesha kujua aina ya vijana tulionao, hususan wakipewa uongozi kwa hapo baadaye....! nawasilisha!
natamani UDASA waandae konganamano kati ya Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) na Umoja wa Vijana CCM (UVCCM). hii itatuwezesha kujua aina ya vijana tulionao, hususan wakipewa uongozi kwa hapo baadaye....! nawasilisha!
olele JF-Expert Member Dec 2, 2010 1,303 1,559 Apr 12, 2011 #3 UVCCM wasivyo na heshima hata kwa viongozi wao akina sumaye na sita mpaka kuwatukana sio wataanza kuwavurumishia matusi wa chadema
UVCCM wasivyo na heshima hata kwa viongozi wao akina sumaye na sita mpaka kuwatukana sio wataanza kuwavurumishia matusi wa chadema