Kompyuta yangu ina tatizo la window

Kompyuta yangu ina tatizo la window

ndume

Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
53
Reaction score
2
Habari za muda huu ndugu wadau kompyuta yangu ina tatizo la window inasemekana BIOS ina password ina sababisha kupiga window mara tatu tu. Baada ya hapo inakuwa inashindwa kuwa mpaka nitoe disc nipige kwa kutumia kompyuta nyingine.

Naomba nisaidiwe namna ya ku unlock hiyo ili niweze kubadilisha bila kuweka kwa kompyuta nyingine
 
Hizo taarifa umezipata wapi, au umejuaje kwamba bios inasababisha hivyo? Computer yako ni model gani
 
Habari za muda huu ndugu wadau kompyuta yangu ina tatizo la window inasemekana BIOS ina password ina sababisha kupiga window mara tatu tu. Baada ya hapo inakuwa inashindwa kuwa mpaka nitoe disc nipige kwa kutumia kompyuta nyingine.

Naomba nisaidiwe namna ya ku unlock hiyo ili niweze kubadilisha bila kuweka kwa kompyuta nyingine

Ukijaribu kuboot Windows kwenye hiyo PC yako inakuuliza BIOS Password? Kama haikuulizi password then tupe details za error message ambazo inazitoa kabla ya kutoa hiyo "disk" (nadhani unamaanisha hard disk)..
Je hiyo PC umenunua dukani au kwa second hand?
 
Mimi ni mtaalam wa kuondoa bios password uko pande zipi, kuna part za motherboard hua nazi short nicheki 0784234391
 
Habari za muda huu ndugu wadau kompyuta yangu ina tatizo la window inasemekana BIOS ina password ina sababisha kupiga window mara tatu tu. Baada ya hapo inakuwa inashindwa kuwa mpaka nitoe disc nipige kwa kutumia kompyuta nyingine.

Naomba nisaidiwe namna ya ku unlock hiyo ili niweze kubadilisha bila kuweka kwa kompyuta nyingine

Kama ni ya wizi rudisha kwa mwenye nayo!!
 
Kwa Password huwezi hata kuingia kwenye boot seting hiyo itakuwa na matatizo kweye system ya ram au procesor
 
mimi mwenyewe nimejaribu kutoa bios password imegoma

MIMI
 
usiongee kwa sababu unajisikia kompyuta ilinunuliwa nikampa dogo aende nayo chuo akafanya kama akaja ikiwa na bios password
 
Ukijaribu kuboot Windows kwenye hiyo PC yako inakuuliza BIOS Password? Kama haikuulizi password then tupe details za error message ambazo inazitoa kabla ya kutoa hiyo "disk" (nadhani unamaanisha hard disk)..
Je hiyo PC umenunua dukani au kwa second hand?

second hand
 
Kwa matatizo ya kutoa bios password nicheki 0784234391.kwa computer za kisasa bios password hutoka kwa kupigisha short sehemu maalum katika motherboard
 
Back
Top Bottom