Komoa gani hii jamani

Kwa hiyo nitume jina la omary kwa makonda ?? Naomba na majina ya hao wengine , maana niko uwanja wa sms.
 
Kugombana na mwanaume mwenzio Sababu ya mwanamke Ni ujinga.
Labda Kama huyo mwanaume anafanya kukukomoa wewe.
Lakini vinginevyo wanawake wapo wengi Sana.
Tafuta mwingine oa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…