Komoa gani hii jamani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Omari ni kijana nadhifu sana mtanashati wa huku kwetu Manerumango. alisomea ufundi wa gari na udereva VETA. Alipata ajira kwenye gereji ya Mangi akitafuta kazi kwenye mashirika au Serikalini.

Omar alibahatika kupendwa na mama wa ki Danish aliyekuwa mteja pale garaji mapenzi yalidumu hatimae walifunga ndoa na kupata watoto yule mama ni professor huko kwao ila anamkataba wa research inayofadhiliwa na WHO.

Karats ilimpomgeukia Omari kila mtu alishangaa Mangi pia siku hizi anamuita Omari boss wake 😂.

Tangu akiwa shule Omari alimpenda sana Lilian Lilian mama yake ni mwalimu na baba mfanya biashara maarufu. Lilian alishamkataa Omari kitamboo.

Sasa hivi Liliani amerudi nyumbani holiday, anapewa lift na Omari. Haamini macho yake. Omari wewe ndiyo unasukuma Mercedes Benz!

Liliana alikubali kumuonjesha Omari japo alikuwa na mchumba matatizo habari ilivuja namchumba alipata habari.

Mchumba aliumia sana kusalitiwa alikodi watu, walimteka Omari, walimfanyia ushenzi huku wakimrekodi na picha walimtumia mke wake wakieleza sababu ya wao kufanya vile mke alibeba wanae akaenda kwao alifunga madirisha ya mawawasiliano kabisa na Omari.
 
Kuna vita ya tatu duniani kote inaendelea kimya kimya kati mwanamke na mwanake!!
 
Aisee Doctor stori ya Leo sjaielewa ,ongezaongeza nyama basi mkuu,Omary walimfanyaje vile?
 

.. speed ya leo 😏😊
 
Hivi vikojoleo siku hizi vinasababisha uhasama mkubwa sana baina ya me na ke halafu vina viherehere hatare.
 
Siku zote mke wa mtu sumu, wanaume wanapenda kuchapa tu ila si kuchapiwa, kuchapiwa inawauma aisee wanaweza hata kuua.
Hata kuchapa hatupendi ni shetani tu anatushawishi.
Ila aliyeanzisha starehe kupitia vikojoleo hakika ametuweza.
 
Dahhh sasa jamaaa kwanini akofishe watu wakumchapa nao Omary?kwanini asingekodisha wakumchapa nao yule demu wake Lillian?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…