Kombe la shirikisho Africa: Yanga yapangwa na TP Mazembe kundi moja

Observer

JF HQ
Oct 18, 2006
189
299
Mabingwa wa soka wa Tanzania Yanga wamepangiwa kundi A litakalokuwa na timu za TP Mazembe ya Congo, Medeama ya Ghana na Mo Bejaia ya Algeria.

Kundi b litakuwa na timu za Etoile du sahel ya Tunisia, Kawkab Marrakech ya Morocco, FUS Rabat ya Morroco na Al Ahli ya Libya.

1464094865919-jpg.350594


Kila la heri Yanga .
 
Droo ya makundi imepangwa muda huu
Group A
Tp mazembe (drc congo)
MO Bejaia (argelia)
Young africans (tanzania)
Medeama Sc (ghana)

Group B
Fus rabat(morroco)
E l sahel (tunisia)
Ahl tripol (algeria)
Kawbek marrakech(morroco)
 
Kila la heri, ijitahidi sasa isije ikapigwa magoli 19 katika mechi 6 kama mwaka ule, ikiwepo kipigo cha goli 6-0
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nakumbuka mambo ya Raja Casablanca miaka ileee, sijui ngapi tulipigwa
 
Back
Top Bottom