Komba, ulijuaje Nyerere atakufa hadi utunge nyimbo za maombolezo yake??

Kwani.. Wakati maandalizi yanaendelea.... Hakuna alojua kinachoendelea juu ya kifo cha nyerere...?
 
Mkapa kwa kushirikiana na CIA waliandaa kifo cha Mwalimu toka 1997... TOT ilipewa kazi ya kuandaa nyimbo long time! uwanja wa Taifa ulianza kukarabatiwa muda mrefu, rubani alikuwa kwenye mazoezi ya kushusha mwili kwa mbwembwe... USA walilipua ubalozi wao wa Nairobi na Dar kisha wakajenga base ya east n central africa Dar!... someni economist ya 1997 Tanzania after Nyerere... Inauma sana lakini ukweli ndo huo kuwa BWM aliuza nchi... JK ni boya tu linaloongozwa kwa remote...
 
Cia apewe mkapa kwa.lipi ? Acha kujaza watu ujinga. Africa yote hii kwa taarifa yako magharibi wanayo mkononi kabla ya ww hujaiona hewa ya ulimwengu.
 

Komba alidhihirisha kuwa ni msanii kwa kufanya kama Sir Elton John
 

Alaa kumbe...! Ndiyo maana haya yote niliyaona kupitia INDEPENDENT TELEVISION wakati huo nasoma SUA
 

Mkuu taratibu kuna sii kubwa nyuma ya pazia!
 

Dunia ya leo ni vigumu sana kupata ukweli wa mambo yanayoendelea. Just propaganda na confusion everywhere. Mpaka tutakapofika mbinguni yote yatajiweka wazi inshaallah.
 
lait kungekuwa na utaratibu wa marais wanapomaliza muda wao waangekuwa wanaelezea achanagamoto walizokutana nazo JK mngemuonea huruma Sana...
Dunia ya leo ni vigumu sana kupata ukweli wa mambo yanayoendelea. Just propaganda na confusion everywhere. Mpaka tutakapofika mbinguni yote yatajiweka wazi inshaallah.
 
Mbona hata za msiba wake mwenyewe tayari alikwisha tunga, subiri utasikia kwenye maombolezo yake wiki hii zikipigwa
 
Mwenye nyimbo za ToT za maombolezo ya Mwalimu Nyerere 1999 atupie humu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…