Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,335
- 3,653
pole sana kwa yaliyokukuta THE BIG SHOW yaani miezi mitano yote ya kupiga misele ndo umeambulia hayo?pole sana ila don't give up wadada mbona wengi tu??????sasa mimi ningejuaje kama yeye ni mke wa mtu na haNA hata pete kiganjani??
Yamenitokea jana na sio utani,huyu dada nimekua namfatilia kwa mda mrefu kias chake,,na ni wa hapa hapa mtaani,by the way ubize na mishe mishe za kazi sikuweza kumfuatilia kwa undani,ila kila napokutana nae huwa siishi kumdadisi na kumweleza nia yangu wazi wazi ya kwamba namzimia,,ilikua simple tuh yeye kuniambia ya kwamba ana mume namimi ningemuelewa,kuliko kipindi chote takribani miez mitano napiga zeze nayeye kuishia kulisikiliza tuh bila kutoa tamko lake,nia yake ilikua nini??kunichora au kunirusha roho??
eti jana nimemit nae tabata bima namuulizia kuhus ule mpango anakuja juu,,ooh eti kaka koma,akutake nani??
Tena koma kunifatilia,mimi nina mume wangu ndani,,mpango wa kuja kujitamba na magari yenu ya mkopo ushapitwa na wakati,,sasa yote yanini??
Si angesema tuh na ningemuelewa??,,
kaniharibia sana mood yangu jana yule dada,,
ila poa tuh,kanipunguzia mashuzi..
Last edited by a moderator: